Tuesday, November 18, 2014

SHORT NA TALL

Short na Tall waki"pose"
Chandra Bahadur Dangi, wa Nepal ndiye mtu mfupi kuliko wote duniani, ana urefu wa cm 55.
Sultan Kosen wa Uturuki ndiye mtu mrefu kuliko wote duniani, ana urefu wa meta 2 na cm 51.

SOURCE: 
mitandao mbalimbali

1 comment:

  1. Ha ha ha ! Ananipita kidogo. Au siyooo !

    ReplyDelete