Wednesday, November 26, 2014

BEST OF LUCK IN EXAMS MINOO

First day in School, January 04th 2011
Maisha ya shule ni safari ndefu...........
Vumi, Vumilia ni safari ndefu.
Naam ndivyo ilivyo kwa Minoo na safari yake ya maisha ya shule.........
Hatimae baada ya miaka minne ya safari hii, leo anatakiwa kuvuka kikwazo cha kwanza.
Leo ni Mtihani wa Taifa wa darasa la Nne.

VERY BEST WISHES MINOO

No comments:

Post a Comment