Thursday, October 16, 2014

KWAHERI DAD, 3

30 September 2014
Wakati msafara ukizidi kusogea mwisho wa safari, kunaingia mushikeli..........
Mojawapo ya gari ya msafara inapata ajali kwa kumgonga mwendesha baiskeli, eneo la Hungumalwa wilayani kwimba.
Hata hivyo baada ya uchelewevu wa masaa kadhaa ili kukamilisha taratibu za kipolisi vituoni Hungumalwa na Misungwi, Safari inaendelea. Tunapata msaada wa gari nyingine kutoka Chuo cha Mipango Mwanza.

No comments:

Post a Comment