Wednesday, October 22, 2014

KUSUBIRIA MLIO WA PARAPANDA

Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari za hao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na paraparanda ya Mungu, nao waliokufa katika kristo watafufuliwa kwanza; Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele’. (1Wathesalonike 4:13-17) - See more at: http://jicheki.com/bwana-yesu-yuaja/#sthash.GQxGNWNo.dpuf 
 
(1Wathesalonike 4:13-17)

1 comment:

  1. Belly junior family.. tunaamini katika neno chili. Imani yetu ni kwamba tutakutana na Babu yetu , Rafiki yet ambaye sasa amelala... Moyo wetu ungali unalia na manjonzi makubwa...

    ReplyDelete