Saturday, September 13, 2014

NAAM, KILA KAZI NA CHANGAMOTO ZAKE

Nilisema mimi,
Kila kazi ina changamoto zake.
Konda wa daladala, dereva wake kajisahau gari imezimika na haina starter.
Ni wajibu wa konda kusukuma iwake,
Aghalabu hutokezea abiria wasamaria wawili watatu wakamsaidia,
Huwezi jua, pengine ni wale waliolilia punguzo kidogo.

No comments:

Post a Comment