Monday, September 29, 2014

KWAHERI MZEE CK

Late Mzee CK
Preliminary timetable
29 Sep
3.00 Asubuhi
Mwili kuwasili nyumbani Kinyerezi
4.00 Asubuhi
Chakula kwa waombolezaji
5.00-7.00
Ibada na kuaga
7.05 Mchana
Kuanza safari
2.00-4.00
Dodoma, Chakula pamoja na washiriki wa SDA Dodoma mjini na wafanyakazi wa Chuo cha Mpango Dodoma
 7.00 Usiku
Stopover Singida
11.00 Alfajiri
Safari Singida Mwanza

To be continued

No comments:

Post a Comment