Wednesday, September 24, 2014

HAPPY BIRTHDAY ANKAL EDDY

Dear Eddy

7 comments:

  1. Happy Birthday ! Thanks my Loved Uncle....

    ReplyDelete
  2. Eddy... Ninamshukuru MUNGU Sana kwa wema na Upendo wake kwangu. Amenilinda na kunitunza. Ninaomba Sana MUNGU anijalie heri na Bar aka zake. Amen.

    ReplyDelete
  3. Thanks my lovely Mommy(Mwl Belly CK Msalya) Thanks my lovely Family(My Wife Tabitha, My love daughter Junior, My lovely Son Ben G) Nawapenda Sana.

    ReplyDelete
  4. Asante Sana Rafiki Yangu Babu Yangu Mzee CK Msalya. Najua huko ktk maumivu makali, natambua jinsi ambavyo ugonjwa umekudhohofisha. Lakini najua yuko mtetezi na muumbaji wako YESU Kristo. Ninamuomba akujalie Rehema na Neema zake . Ninatambua malezi yako kwangu. Kwa hakika yanabakia kuwa mwongozo wa maisha ya familia Yangu. Nakupenda Sana Mzee Wangu na Rafiki Yangu. MUNGU akubariki Sana akuponye.Amina.

    ReplyDelete
  5. Bi Penina C . Kulwira Mrs. Bibi yangu kipenzi. MUNGU akubariki Sana Rafiki yangu. Ninakupenda Bibi yangu. Sina cha kukupa, ninakuombea afya njema. MUNGU akawe tumaini na kimbilio lako, wakati huu Mzee CK Msalya anapoumwa Sana. Nakumbuka mengi kuhusu we we ninapokuwa ktk siku hii ya kuzaliwa kwangu. Kilimo cha mihogo kwibhwagalilo, shida ya Mani kulyamanana. Mbegu za mihogo(hebhit na masya) Pole Sana Bibi yangu, hii yote ili familia yako ipate uhakika wa chakula. Ubarikiwe sana Sana. Ninakupenda Sana Bibi. Karibu.

    ReplyDelete
  6. Ninapenda kuwashukuru wote, ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa sehemu ya Maisha Yangu. Wajomba zangu, Mama zangu, wadogo zangu, marafiki zangu,Nakatuba Msoma,naDar. Thanks Brother Eliudi Kaitila.Fredy Jeje, Joshua Mwakalila,Pambano Willson, nawengine wengi. MUNGU awabariki Sana.

    ReplyDelete
  7. Oh! ! Thanks so much Brother George & your family. Nawapenda Sana Sana. George kaka na rafiki Yangu. Ninatambua Sana mchango wako katika maisha Yangu. Kupitia siku hii mhimu kwangu, niseme tu, ninakupenda Brother. MUNGU akubariki Sana. Familia yako ibarikiwe Sana.

    ReplyDelete