Tuesday, July 15, 2014

OUR CHANGING UBUNGO

Just opposite Riverside
Mitaa ya kwa Chonya
Miezi michache iliyopita nilikuwepo mitaa hii, pale Kinyaiya lakini sikuona kitu.
Majuzi kupita hapa kuna kitu kimeota.
Ndiyo Ubungo yetu inavyobadilika kila siku.

No comments:

Post a Comment