Saturday, June 14, 2014

KAMA BRAZIL VILE

Kwa haraka haraka unaweza kudhania ni mashabiki wa mpira wakibrazuka, La hasha...
Ni waombaji wa nafasi za kazi idara ya uhamiaji, wanakisiwa kuhudhuria vijana wapatao 10,000.
Na miongoni mwao ni SABINI (70) tu wanahitajika.
Ama kweli bongo tambarare.

No comments:

Post a Comment