Friday, June 6, 2014

BADO TUKO MUHIMBILI

Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Naama, vyote vilivyo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, wala usizisahau fadhili zake zote. Akusamehe maovu yako yote, akuponya magonjwa yako yote (Zaburi 103:1-3).

1 comment: