Saturday, May 17, 2014

TANZIA - MATHA HATUNAE

Late Mrs Matha Tano.
Habari zilizoifikia Blog yetu mchana huu, ni kuwa Mdau wetu 
Mrs MATHA TANO ameaga dunia,
Mama, Dada, Bibi, Aunt yetu huyu amefariki majira ya mchana wa leo akiwa anapatiwa matibabu ya Malaria huko Sengerema.
Mipango ya mazishi imeanza, na Blog itazidi kuwataarifu.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa.
Jina la Bwana Lihimidiwe.
Ukapumzike kwa Amani mpendwa wetu MATHA.
AMINA


 

No comments:

Post a Comment