Monday, May 5, 2014

CK HOME NURSING AND FEEDING

Mzee CK amerejea nyumbani Kipunguni.
Atakuwepo kwa takribani wiki mbili kabla ya kurejea hospitali kwa matibabu ya mwisho.
Ankal Jovi amebeba jukumu la kusimamia lishe bora ya mgonjwa kwa wakati kama ilivyoshauriwa na Madaktari.

No comments:

Post a Comment