Saturday, May 3, 2014

CHOZI LA FURAHA


Chozi la furaha la Mzee CK
Mei Mosi, Kibasila Ward, Muhimbili.
Idadi kubwa ya watu waliomtembelea kumjulia hali na kumfariji ilimfanya Mzee CK kutoa chozi.
Upendo ulioje!!!
Hakika upendo ni tiba.

No comments:

Post a Comment