Tuesday, May 27, 2014

IMANI HABA

Imani haba
Vingunguti, Nyerere road
leo asubuhi

Monday, May 26, 2014

MDAU WA KWETU

Ni mdau Nyachieri Mwagari
kutoka NAMALEBE kwetu.
Jumapili Ukonga mzambarauni.
Mzee Nyachieri alimleta nduguye kutoka Namhula kwa matibabu,
Bahati mbaya mgonjwa amefariki Ijumaa, na atasafirishwa jumanne kwa mazishi kijijini Namhula.

IN DAD'S CHAIR

Minoo
Delmonte Office
Msimbazi Centre
leo asubuhi

Sunday, May 25, 2014

WELL WISHERS

Isaiah 41:10
 Fear thou not; for I [am] with thee: be not dismayed; for I [am] thy God: I will strengthen thee; yea, I will help thee; yea, I will uphold thee with the right hand of my righteousness.

Kipunguni, Jumapili

JUST CREATIVITY

Ni ubunifu tu.
Ukonga Mazizini

Thursday, May 22, 2014

YATAKA MOYO

Ndiyo Bongo Darisalama,
Ujenzi wa nyumba Dar unahitaji kuzingatia mambo mengi.
Unapodhani kilimani uko shwari na mafuriko, fikiria Landslide kama hii.
Kinyerezi Darajani.

CK MEDICAL EXAMINATION

CK for Xray examination
Hindu Mandal Hospital
Monday 19/05.
He is scheduled now to be admitted at Muhimbili on 27 May for operation to be made on 30 May.
All our Prayers are with u DAD.

Tuesday, May 20, 2014

ANALINGA, ANALEMBUA.....

Pozi
Analinga, analembua ?
Kinyerezi kwetu.

BONGO DARISALAMA PEKEE

Only in Bongo DariSalama.
Once you sense a traffic jam,
Drive the way u like.
Left or Right
Service road or Pedestrian rd.
Drive the way u feel.

WHAT A RIDE?

Bora mzigo ufike
Msimbazi Centre, Kawawa Road.

DAY OFF

Mdau Kagere,
Nurse namba 3
Hapa ni baada ya kumaliza zamu ya siku moja ya kumuhudumia Mzee CK.
atakuwa Off siku moja.
Kipunguni, Jumatatu usiku.

HEAL ME, OOH LORD

Jeremiah 17:14

Heal me, O LORD, and I will be healed; save me and I will be saved, for you are the one I praise.

Monday, May 19, 2014

DAKTARI NOMA

Maskini Kabelo,
Sipati picha jumanne ilikuwaje?

Saturday, May 17, 2014

TANZIA - MATHA HATUNAE

Late Mrs Matha Tano.
Habari zilizoifikia Blog yetu mchana huu, ni kuwa Mdau wetu 
Mrs MATHA TANO ameaga dunia,
Mama, Dada, Bibi, Aunt yetu huyu amefariki majira ya mchana wa leo akiwa anapatiwa matibabu ya Malaria huko Sengerema.
Mipango ya mazishi imeanza, na Blog itazidi kuwataarifu.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa.
Jina la Bwana Lihimidiwe.
Ukapumzike kwa Amani mpendwa wetu MATHA.
AMINA


 

HEPI BETHIDEI ANKAL

Na leo tena ni siku kuu ya Mwanablog wetu.
Ni Bethi dei ya Mdau Ankal TABI
HAPPY BIRTHDAY TABITHA

Friday, May 16, 2014

HEPI BETHIDEI

Mdau Msalya Mwayai a.k.a. TALL
Leo ni bethidei yake.
HAPPY BIRTHDAY

UPENDO

Babu Jaluo akishow Love na Babu Kagere.
Wote wapo kushow Love na Babu CK
Kipunguni, Alhamis usiku

ONLY IN USWAZI

Dereva kazi ni kwako, utapita kwa ruhusa ya taa zipi.
Buguruni Chama.

Wednesday, May 14, 2014

JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

Isaiah 41:10 
 fear not, for I am with you;  be not dismayed, for I am your God; I will strengthen you, I will help you,  I will uphold you with my righteous right hand.