Wednesday, April 30, 2014

OOh MUNGU, BWANA WETU U MWEMA



Yakobo 5:14-15.

Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa.

Kibasila, Muhimbili Hospital leo asubuhi
 

No comments:

Post a Comment