Wednesday, March 19, 2014

BURIANI KABHWIGA

Bw Gerald Sulusi Ndaro a.k.a. KABHWIGA (Bulls 42)
Kwa ajili ya kukimbizana na maisha aliondoka nyumbani Ukerewe kwa ajili ya kutafuta fursa pahala pengine.
Safari ikamfikisha Ikwiriri, Rufiji kwa ajili ya kujaribu kilimo cha Ufuta.
Lakini juzi kwa ghafla mauti imempata akiwa ugenini. Maziko kwa mujibu wa taarifa yamefanyika jana Ikwiriri.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment