Friday, March 28, 2014
Thursday, March 27, 2014
ADHA YA MVUA ZA DAR
Mvua za usiku wa kuamkia leo Dar,
ni mshike mshike karibu kila sehemu.
Hapa ni mitaa ya MYFAIR PLAZA asubuhi.
ni mshike mshike karibu kila sehemu.
Hapa ni mitaa ya MYFAIR PLAZA asubuhi.
Monday, March 24, 2014
Thursday, March 20, 2014
Wednesday, March 19, 2014
BURIANI RAYFORD
Hapa ndipo walipopumzika Uncle Maingu na Bibi Rebecca Nyamweya
Masuruli, Beria na Maclaud - Karukekere
Rayford Maingu Magoti 1962 - 2014
hatunae tena, amefariki usiku wa kuamkia leo huko Bariadi.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani Karukekere.
Ukapumzike kwa amani Rayford.

BURIANI KABHWIGA
Bw Gerald Sulusi Ndaro a.k.a. KABHWIGA (Bulls 42)
Kwa ajili ya kukimbizana na maisha aliondoka nyumbani Ukerewe kwa ajili ya kutafuta fursa pahala pengine.
Safari ikamfikisha Ikwiriri, Rufiji kwa ajili ya kujaribu kilimo cha Ufuta.
Lakini juzi kwa ghafla mauti imempata akiwa ugenini. Maziko kwa mujibu wa taarifa yamefanyika jana Ikwiriri.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

Tuesday, March 18, 2014
Thursday, March 13, 2014
Wednesday, March 12, 2014
Monday, March 10, 2014
NI SIKU YA JOEL NA ELIMINA
Bw Joel Joshua alipofunga pingu za maisha na Bi Elimina, kanisa la waadiventista Kinyerezi.
jana Jumapili.
Wimbo ulio bora 8:7
Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo, Wala mito haiwezi kuuzamisha : Kama mtu angetoa badala ya upendo mali yote ya nyumbani mwake, Angedharauliwa kabisa.
Saturday, March 8, 2014
Thursday, March 6, 2014
Monday, March 3, 2014
MDAU MWENYE NIA
Mdau Baasha Makubhi a.k.a. Mzee wa Makamuzi.
Ameshaonesha nia ya kwenda kuikomboa kata yetu toka mikononi mwa Fisadiz 2015.
Ameshaonesha nia ya kwenda kuikomboa kata yetu toka mikononi mwa Fisadiz 2015.