Thursday, February 27, 2014

HUU SI UUNGWANA

Utendaji kazi katika mazingira magumu,
Huu siyo uungwana kabisa kwa Mwajiri.
Usafishaji huu wa mitaro ya maji bila Gloves, bila Masks na vitendea kazi duni ni hatari.
Maisha ya mfanyakazi yanahatarishwa.

No comments:

Post a Comment