Wednesday, January 8, 2014

BURIANI Mrs. HESLOM MATEKERE

Late NYAMISANGO MARIAM
07 Januari 1977 - 06 Januari 2014
 Mr Heslom Matekere na Mama yake
Mrs Mariam N. Heslom amefariki juzi kwa matatizo ya Uzazi juzi 06.01.2014
Marehemu ataagwa leo nyumbani kwao Survey, Mwenge kabla ya kusafirishwa kwa mazishi kijijini kwetu Nakatuba.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa........
Jina lake lihimidiwe. Amen.
Wadau wa Nakatuba walijitokeza kwa wingi jana kwa ajili ya kuomboleza.

2 comments:

  1. Tunamuombea FARAJA ya pekee Sana. MUNGU ample uvumilivu wakati huu mgumu Wa kuondokews name mpenzi mkewe.

    ReplyDelete
  2. MUNGU . . Aka we mfariji Wa familia ya Ezrom Matekele. Tuko pamoja many I katika wakati huu mgumu.

    ReplyDelete