Friday, December 27, 2013

MTARAJIWA

Mtarajiwa katika pozi
Kagere Mwayai Msalya.
23 Desemba 2013 Mahari imetolewa huko Mmagunga.
Na tarehe 23 March 2014, Harusi ya kufana tunataraji itafungwa Nakatuba.
Siku hiyo pia itakuwa ni Birthday ya Mdau Mtarajiwa akitimiza miaka kadhaa.........
Kila la kheri kuifikia siku hiyo.

No comments:

Post a Comment