Monday, December 2, 2013

AJALI NILIYOISHUHUDIA

Asubuhi ya leo nimeshuhudia ajali ya gari iliyouhuzunisha sana moyo wangu.
Binti mdogo pengine wa darasa la sita au saba akigongwa na gari hii.
Masikini tairi zote za kushoto zimepita juu yake, lakini ilionekana bado mzima licha ya maumivu.
Nimeondoka wakati akikimbizwa hospitali.
Mwenyezi Mungu twakuomba ukamponye.
Njiapanda Segerea leo asubuhi

No comments:

Post a Comment