Monday, December 30, 2013

KUELEKEA MACHI 09, 2014










Vikao vya maandalizi kwa ajili ya Sherehe ya Harusi ya Bw. Joel Joshua Kaitira vimeanza.
Jana, Babylon Resort Kinyerezi kilikuwa ni kikao cha pili.
Kikao kitakachofuata kitakuwa tarehe 26 Januari 2014.
Shime wadau tushiriki.

Friday, December 27, 2013

MCHUNGAJI MATHAYO

Mchungaji Mathayo Mwayai Msalya
Mzee wa Ushilombo
Yuko ndani ya Kinyerezi
Tunabarikiwa na mibaraka ya mashahidi hawa wa Yehova

YOGA EXERCISE

Mdau Minoo
Kinyerezi kwetu
Boxing day

USISAHAU MSIMU WA SIKUKUU

o9 DESEMBA

Late Tanganyika

SILAS MASISI MWAYAI MSAYA


19 DESEMBA

SARAH BILLY K. MSALYA


20 DESEMBA

NOEL CK BILLY MSALYA

BETTER ROBA MANYAMA


25 DESEMBA
CHRISTIMAS
BAHATI NYANG'OKO EMMANUELA


27 DESEMBA

Jnr KAIGI JACKSON MAROGO KAIGI



29 DESEMBA

Mwl NYABHWANGU BELLY K. MSALYA
ANNIVERSARY, GEORGE & LILIAN WEDDING DAY


04 JANUARI

CRAWFORD KURWIJIRA MSALYA



08 JANUARI

MIKOLINA JACKSON KAIGI

MAGOTI BILLY K. MSALYA



09 JANUARI

MSALYA BARUKU K. MSALYA



14 JANUARI

NYACHIRIGA BRIGHT K. MSALYA



15 JANUARI

NYAMBULI MAFUNI



26 JANUARI

PENINA (Wa Nyang'oko)

HEPI BETHIDEI MDAU WETU

25 Desemba 2013
Wakati tukisheherekea X mas
pia ni siku ya kuzaliwa mdau wetu
BAHATI NYANG'OKO EMMANUELA
(Mrs Mafuni)
HAPPY BIRTHDAY BAHATI

MTARAJIWA

Mtarajiwa katika pozi
Kagere Mwayai Msalya.
23 Desemba 2013 Mahari imetolewa huko Mmagunga.
Na tarehe 23 March 2014, Harusi ya kufana tunataraji itafungwa Nakatuba.
Siku hiyo pia itakuwa ni Birthday ya Mdau Mtarajiwa akitimiza miaka kadhaa.........
Kila la kheri kuifikia siku hiyo.

Tuesday, December 24, 2013

R.I.P. HATARI F. NYAKUJERWA

Hatari Felician Nyakujerwa
1957 - 21 December 2013.
Ukapumzike kwa Amani

Saturday, December 21, 2013

MNUSO WA BETHIDEI

 
Bethidei ya Mdau CK ilimalizika jana jioni kwa mnuso wa nguvu.
Kinyerezi kwetu