Monday, November 4, 2013

ULEMAVU SIYO MWISHO

Hakika ulemavu siyo mwisho wa maisha,
Maisha lazima yaendelee
Jamaa hawa wenye ulemavu wa macho wakipata moja moto moja baridi
na kubadilishana mawazo
Kisuma Inn, Jumamosi

No comments:

Post a Comment