Monday, November 4, 2013

SASA NI BW & BI SELESTINE

Kuanzia jana Sara na Selestin ni mwili mmoja.
Hongereni sana Bw na Bibi Sara and Selestine Manyama Kaitila.
Mungu awajalie ndoa yenye furaha na amani
Mkapate watoto wa Kike na Kiume

No comments:

Post a Comment