Saturday, November 9, 2013

AJALI

Ajali zetu za baiskeli hazina makuu
Mnagongana,
Mnaweza kupishana lugha,
Lakini Trafiki si muhimu sana, mashuhuda tu wanatosha.
Mwisho wa siku ni kuelewana kishikaji, na kila mtu na hamsini zake.
Uswazi safi sana.

No comments:

Post a Comment