Thursday, October 17, 2013

WACHA MBAGALA YETU IITWE MBAGALA

Miezi kadhaa iliyopita, hapa hapa Mbagala yetu wakati wa kukabidhiwa barabara hii ya Kilwa,
Niliwasikia Bilal na Magufuri wakitusisitizia tuitunze vizuri.
Masikini Kilwa Road, hata mwaka haujapita...........
Reserve ya barabara iliyopo katikati sasa ni Parking ya Toyo na Gulio.
Ama kweli wacha Kwetu Mbagala paitwe Mbagala

No comments:

Post a Comment