Wednesday, October 2, 2013

MAJANGA

Gari imeharibika,
unafikiria ni wapi Gari itapata packing salama mpaka asubuhi,
unafikiria mtafikaje nyumbani,
lakini kwa wengine, usingizi popote.
Lango la jeshi, jumapili usiku

No comments:

Post a Comment