Thursday, October 17, 2013

JALALA KWAKO, KWANGU RIZIKI

Pamoja na onyo la kukataza kutupa taka hapa,
na adhabu kali ya faini ys Tshs 50,000 inayoendana na kosa hilo,
bado jalala hili linakua kila siku. Ni Kinyerezi kwetu.
Hata hivyo kwa wengine ni sehemu ya kujitafutia riziki.
Sasa sijui itakuwaje?
Mtupaji taka, adhabu.......
Muondoaje taka je??

No comments:

Post a Comment