Monday, September 2, 2013

"UKAPERA BASI" SELESTINE KAITILA

Mdau Selestine Kaitila ameazimia vyovyote na iwavyo, Ukapera basi hadi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu,
Wadau nao wameamua kumuunga mkono katika vikao vya maandalizi ya sherehe ya harusi.
Hii ni Ukonga recreation 25.08.2013.

No comments:

Post a Comment