Tuesday, August 27, 2013

SARANGA KWETU

 
 
Saranga, Kinondoni District.
Siyo ile ya zamani tena, inakua kila siku
Nyumba za kisasa zinachipua kila kukicha,
Miundo mbinu inafika sasa,
Umeme na mitandao ya simu.
Huduma za jamii, makanisa na misikiti
Halikadhalika na vijiwe vya kupoozea.
Hii ndiyo Saranga mpya, umbali mfupi toka Kinyerezi, Ilala.

No comments:

Post a Comment