Tuesday, August 13, 2013

BUS STOP OR CHINGA STALLS

Hiki ni kituo cha kupumzikia abiria wa Daladala, Mchikichini kwa ajili ya abiria waendao mjini.
Lakini kimesheheni biashara ya Wamachinga.
Uhuru Road jumatatu

No comments:

Post a Comment