Wednesday, July 24, 2013

ZIMEJIBU

 
 
Unaikumbuka 29 April 2011?
Wakati William na Kate wakiwa na Royal Wedding huko Kasri la Kifalme, Uingereza.
Newala, Kusini mwa Tanzania Msalya na Samawati nao walikuwa wakifunga ndoa.
Ndoa zote zimejaliwa watoto................................
Kusini baada ya siku 657
Kasikazini baada ya siku 817
Kusini Baby Girl
Kaskazini baby Boy

No comments:

Post a Comment