Friday, July 19, 2013

KUMEKUCHA KINYEREZI

Kumekucha Kinyerezi,
kila mmoja anawahi kwenda kutafuta riziki ya siku.
Tathimini yangu leo asubuhi...........
Riziki yetu kubwa Kinyerezi ipo upande wa Mashariki.
Watu wengi wanaelekea upande huo.

No comments:

Post a Comment