Saturday, July 13, 2013

KAZI NI KAZI......

Haijalishi unapiga mzigo gani?
Kazi yako ni halali.....
Inakupatia kipato......
Ndio riziki yako.
Ipende,
Ifanye kwa juhudi na maarifa, na weka malengo yako.

No comments:

Post a Comment