Thursday, July 18, 2013

HAPPY BIRTHDAY MADIBA

Pamoja na kuweko Hospitali siku 40,
Leo ni Siku maalum ya Shujaa Nelson Mandela "Madiba"
Ni siku ya kuzaliwa kwake, anatimiza miaka 95.
Mola wetu akuponye haraka, akupe maisha marefu yenye afya njema na furaha.

please do one good deed today to honour our Hero,
Happy Birthday Madiba

No comments:

Post a Comment