Monday, July 8, 2013

FOLENI NDIO ZETU

Kwetu Bongo Darisalama,
Foleni sasa ni kawaida
Si Mbagala au Kawe,
Banana Ukonga au Posta,
Ubungo au Kariakoo

No comments:

Post a Comment