The question comes je, huyo Farida alikua nani?, na hapo kulikua kunafanyika nini? Pia ukiangalia vizuri kuna neno sijui ndio jina villa ambayo/ambalo asili yake n Uhispania. Licha ya hivo ukiangalia vizuri ni kama makazi yaliyotelekezwa, kwa sababu jengo limezungungwa na vichaka huku kuta zake zikiwa zimejaa vumbi. Mwisho kabisa kama kuna mtu anafahamu atujuze.
Nimepita njia hii na kuona hilo jina Farida Villa 1949, I just decided to Google and get to know it more ndio nikakutana na hii link...Vizuri
ReplyDeleteInashangaza kwa kweli kuwa hiyo nyumba ni ya 1949, Wakati Tazara yenyewe imeanza miongo michache iliyopita.
Delete???
ReplyDeleteThe question comes je, huyo Farida alikua nani?, na hapo kulikua kunafanyika nini? Pia ukiangalia vizuri kuna neno sijui ndio jina villa ambayo/ambalo asili yake n Uhispania. Licha ya hivo ukiangalia vizuri ni kama makazi yaliyotelekezwa, kwa sababu jengo limezungungwa na vichaka huku kuta zake zikiwa zimejaa vumbi. Mwisho kabisa kama kuna mtu anafahamu atujuze.
ReplyDelete