Friday, May 3, 2013

UNAPOKOSA BUSARA BARABARANI

Foleni ya kwetu leo asubuhi
Kisa Muungwana mmoja kakosa uungwana.
Muungwana huyu aliyekuwa akieendesha daladala alikosa subira akafunga njia.
Ikawa sasa hakuna wa kwenda wala kutoka Kinyerezi.
Bahati nzuri baada ya dakika kadhaa, muungwana mwingine aliyekuwa na uungwana alisaidia kuondoa kadhia hiyo tukaendelea na safari.

No comments:

Post a Comment