Monday, April 15, 2013

UNAPOSAFIRISHA MIZIGO BILA INSURANCE

Tafakari mwenyewe itakuwaje
Umekodiwa kusafirisha mzigo "fragile" wa mteja kuupeleka sehemu,
Gari yako haina bima
Na mzigo kwa sababu haujafungwa unaanguka na vioo vyote vinapasuka,
Itakuwaje??

No comments:

Post a Comment