Wednesday, April 10, 2013

KWAHERI BHITURO (LULU)

 Mama Chai, Angela
 Aunt Monica, Lulu
 Mr & Mrs: Tabi and Eddy
 Baba mzazi na my wife wake Bi Jennifer
 Ankal Agness
 Mama Mdogo Tabu
 Jaluo
 Happy Kaigi
 
 Dr George
In a tee tete
 
 Mama na mwana
Sasa mambo ni hadharani.
Send Off Party ya Bi Bhituro Lulu Bright K Msalya sasa itakuwa tarehe 05 Julai 2013, takribani siku 86 zijazo.
Wana ndugu jana wameitika wito wa Baba Mzazi wa Lulu na kuhudhuria kwa wingi pale Ukonga Recreation.
Imeazimiwa kuwa vikao rasmi vya maandalizi ya Send Off vitaanza Jumamosi tarehe 13 April pale Ukonga Recreation.

No comments:

Post a Comment