Thursday, April 25, 2013

BENZ LAUNGUA

Kawawa Road, Machinga Complex asubuhi leo.
Tukiwa kwenye foleni Benz hili T583ABP lilianza kufuka moshi kabla ya moto kuanza kujitokeza.
Abiria wa kwanza kuchomoka, mheshimiwa mwenye white kulia, baadae dada anaefunga mlango.
Dada dereva kama haamini kinachotokea, akiwa bado katulia garini na kufunga mkanda.
Sikujua kilichoendelea, lakini hadi foleni inaanza kuruhusu moto ulishashika injini mbele kwenye buti.

No comments:

Post a Comment