Wednesday, March 13, 2013

HEPI BETHIDEII

Leo ni Birthday ya Mdau
Kolle
aka Miriam
aka Mama ChaiBora
Lakini pia ni bethidei ya Mheshimiwa sana Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed Shein.
Hongereni,
HAPPY BIRTHDAY TO YOU ALL

1 comment:

  1. Hongera Aunt.
    Mungu akujalie maisha marefu yenye baraka tele

    ReplyDelete