Tuesday, February 5, 2013

MDAU TABI NDANI YA BONGO LAND

 
Mdau Tabitha amerejea nchini jana baada ya kuwa nje masomoni kwa muda wa miaka mitatu.
Baada ya kurejea mchana, jioni ilimukuta ameshajichanganya kama kawaida na Bongo DariSalama.

No comments:

Post a Comment