hayaendi hadi yabembelezwe kwa kupewa uji
leo Kitunda
Sunday, November 18, 2012
WADAU KITUNDA TSUNAMI
Jumapili, Kitunda Tsunami
Fursa nzuri ya kumtembelea Beria baada ya kurudi kupeleka Msiba huko Bwasi, Majita
Wadau wengi wakakutanishwa hapa leo
MACHINGA
Machinga Complex kwa ajili ya Machinga
Lakini sivyo ilivyo sasa
Machinga wanalazimika kutafuta sehemu nyingine kwa ajili ya kujipatia riziki.
Ama kweli Riziki popote.
Jana jumamosi jioni
Lakini sivyo ilivyo sasa
Machinga wanalazimika kutafuta sehemu nyingine kwa ajili ya kujipatia riziki.
Ama kweli Riziki popote.
Jana jumamosi jioni
Saturday, November 17, 2012
NI HAPPY BETHIDEI YA KUZALIWA MDAU ....
17 NOVEMBA
Leo ni siku Maalum ya mdau wetu
MANYORI BILLY
Miaka kadhaa iliyopita, alizaliwa pale Bagamoyo
HAPPY BIRTHDAY ANNIVERSARY OUR BELOVED
Leo ni siku Maalum ya mdau wetu
MANYORI BILLY
Miaka kadhaa iliyopita, alizaliwa pale Bagamoyo
HAPPY BIRTHDAY ANNIVERSARY OUR BELOVED
Wednesday, November 14, 2012
BONGO YETU I NJEMA, ILIMRADI KAZI NI KAZI
LandScaping
Animal feeds
City Cleaning
Network and communications
taxis
Waste oils
Bodaboda
bajaj
Angalia Bongo yetu ilivyo njema
Bora una uwezo wa kuchapa mzigo wowote,
Hapa ndio pahala pake pa kubanana.
Ili mradi kazi ni kazi.................
Kawawa Rd, Leo mchana
Monday, November 12, 2012
MDAU HATARI
Mdau Hatari Nyakujerwa
a.k.a. Danger
a.k.a. Teacher
Footballer mstaafu
Kocha Mahiri mitaa ya Uswazi kwetu Kurasini Shimo la Udongo
a.k.a. Danger
a.k.a. Teacher
Footballer mstaafu
Kocha Mahiri mitaa ya Uswazi kwetu Kurasini Shimo la Udongo
KWA MDAU TITUS
Kwa Mdau Titus Gunze, Mbagala jana
ilikuwa tuwe na kikao hapa cha kujitambulisha mgeni mmoja hivi, lakini kwa sababu zisizozuilika haikuwa.
YALE YALE ALIYOYAIMBA DIAMOND
Sunday, November 11, 2012
HONGERA ERICK
Jana usiku.
Kinyerezi
Nimealikwa jana kwenye mnuso wa Kipaimara kwa jirani yangu.
Kijana wake Eric Frank akipamarika.
Mdau CK alikuwa miongoni mwa wapambn ati.
HONGERA ERIC
Saturday, November 10, 2012
KUZALIWA UPYA
Kuweza kuingia katika ufalme wa Mungu lazima tuzaliwe upya katika
kiroho. Imeandikwa, Yohana 3:3-8 "Yesu akajibu akawaambia, amini amini
nawaambia, mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuuwona ufalme wa Mungu.
nikodemo akamwambia awezaje mtu kuzaliwa akiwa mzee? aweza kuingia
tumbini mwa mamaye mara ya pili akazaliwa? Yesu akajibu amini, animi
nakwambia mtu asipo zaliwa kwa maji na kwa Roho hawezi kuiingia ufamle
wa Mungu kilichozaliwakwa mwili ni mwili, kilichozaliwa kwa Roho ni roho
usistaajabu kwa kuwa nilikwambia hamna budi kuzaliwa mara ya pili, upepo
huvuma upendako, na sauti yake waisikia lakini hujui unakotoka wala
unakokwenda kadhalika na hali yake kila mtu aliye zaliwa kwa Roho."
Sabato ya leo hii,
Mdau wetu, MSALYA BILLY atazaliwa upya kunako kanisa la Waadventista Wasabato Kinyerezi.
Sabato ya leo hii,
Mdau wetu, MSALYA BILLY atazaliwa upya kunako kanisa la Waadventista Wasabato Kinyerezi.