Saturday, November 10, 2012

KUZALIWA UPYA

Kuweza kuingia katika ufalme wa Mungu lazima tuzaliwe upya katika kiroho. Imeandikwa, Yohana 3:3-8 "Yesu akajibu akawaambia, amini amini nawaambia, mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuuwona ufalme wa Mungu. nikodemo akamwambia awezaje mtu kuzaliwa akiwa mzee? aweza kuingia tumbini mwa mamaye mara ya pili akazaliwa? Yesu akajibu amini, animi nakwambia mtu asipo zaliwa kwa maji na kwa Roho hawezi kuiingia ufamle wa Mungu kilichozaliwakwa mwili ni mwili, kilichozaliwa kwa Roho ni roho usistaajabu kwa kuwa nilikwambia hamna budi kuzaliwa mara ya pili, upepo huvuma upendako, na sauti yake waisikia lakini hujui unakotoka wala unakokwenda kadhalika na hali yake kila mtu aliye zaliwa kwa Roho."

Sabato ya leo hii,
Mdau wetu, MSALYA BILLY atazaliwa upya kunako kanisa la Waadventista Wasabato Kinyerezi. 

No comments:

Post a Comment