Monday, November 5, 2012

MAISHA LAZIMA YAENDELEE

 Mama Malembo
CK na maneno yake pia kwa shangazi
 Mama Chai ya kwake kwa Joshua 
Nyasira akijichanganya
 Mama Mshamu alikuwepo kutoa uzoefu wake
 Bhituro kuhakikisha mambo ya ndani yanaendelea kama siku zote
 CK Senior 
 Watu ni kama wameshikwa na bumbuwazi, hawaamini kilichotokea. Lakini hii yote ni mipango ya Mungu.
Jumamosi,
watu wengi wamefika kuwafariji, kuwapa matumaini kuwa maisha lazima yaendelee pamoja na yote yaliyotokea


No comments:

Post a Comment