Monday, November 5, 2012

LIVE MATCHES KWETU USWAZI

 
 
Live matches
Kwetu Uswazi
Tunavyo vipaji lukuki vya kutupeleka World Cup finals 2022.
Tatizo letu ni viwanja vya mazoezi, pengine na vifaa
Lakini kwetu Uswazi kucheza pekupeku ni kawaida.
Barcelona, Milan nk kwetu zipo pia

No comments:

Post a Comment