Sunday, November 4, 2012

KILA LA KHERI KWENYE MITIHANI YAKO REBECA



Mambo yote ni mipango ya mwenyezi Mungu
Mapenzi yake yatimizwe kwa yote yaliyotokea
Nina hakika kwa ubinadamu wetu hatuwezi kujua kusudio lake.
Mwanangu,
Kesho unavyoingia kuanza mitihani yako ya mwisho ya Kidato cha Pili
Ndunguzo wote tuko nyuma yako tukikuombea kila la kheri
ukawe nuru yetu mpya inayochomoza kutoka gizani.
EVERY BEST WISHES FOR YOU REBECCA

No comments:

Post a Comment