Monday, October 8, 2012

WADAU NA FINAL EXAMS

 
 
Leo 08 October 2012
Wadau kadhaa wa Blog hii, wanaungana na wenzao Inji nzima kuanza mitihani yao ya mwisho ya kumaliza Kidato cha Nne.
Pamoja na kuwa kila mdau atavuna alichopanda, Blog hii pamoja na Wanafamilia wote wanaungana kuwatakia kila la kheri katika mitihani yao.
Mdau PAULO MSALYA a.k.a. MANGATI atakuwa KISORYA SEKONDARI,Bunda
Mdau PENINA KAMANGA a.k.a. TEDY yko ALPHA SEKONDARI, Morogoro na
Mdau ASHURA ABUBAKAR anafanyia KINYEREZI SEKONDARI, Dar Es Salaam.
Best Wishes to you All..............

1 comment:

  1. Wish you all the success. May you shine with 'jumping' colors (^_^)

    ReplyDelete