Sunday, October 7, 2012

MALEMBO IS BACK HOME

Mdau Kulwa Malembo a.ka. Majunga
Baada ya zaidi ya wiki akiwa Hospitali Amana na Muhimbili, jana ameruhusiwa kutoka Hospitalini.
Ahsanteni wadau wote kwa maombi yenu na misaada ya hali na mali.
Matibabu yanaendelea nyumbani, na mzidi kumwombea afya njema na misaada kila itakapowezekana

No comments:

Post a Comment